Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 23 Julai, 2024 
ametembelea na kuweka shada la maua kwenye makumbusho ya kaburi la Baba 
wa Taifa la India hayati Mahatma Gandhi yaliyopo Jijini New Delhi, 
India.



No comments:
Post a Comment