Tuesday, July 29, 2025

WALIOTEULIWA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE MAJIMBO YA MKOA WA MBEYA

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla leo Jumanne Julai 29, 2025 ametangaza majina ya walioteuliwa na CCM kwenda hatua inayofuata ya kura za maoni ya chama hicho.

No comments:

Post a Comment