KENGOLD vs KMC, TIMU ZAELEZA JINSI ZILIVYOJIPANGA KUONDOKA NA ALAMA TATU
Kuelekea mechi ya KenGold dhidi ya KMC itakayochezwa kesho Februari 22,
2025 saa nane mchana katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya makocha wa
timu zote wameeleza namna walivyojiandaa kuondoka na alama tatu muhimu
katika mchezo huo.
No comments:
Post a Comment